Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Back to the field
Sawa tajiri tuombe uzima na kila la heri kataa ndoa wasijeingilia kati kuvuruga mipango.Kaka elewa mwishoni mwa Mwaka, and it will be a big pleasure kwa marafiki zangu kuwa hapo.
ThawaaaAsanfe
Kiufupi ni mbagala nzima aiseee..Bosi wa Chamazi nzima hadi mmbande mixer hadi chanika Poor Brain
Naunga mkono hoja bosi wangu hapo mitaaa ya mbagala Iko fresh sana yaani apo mmbande Kuna shangazi yangu anaishi kakaKiufupi ni mbagala nzima aiseee..
Born kizuiani hospital
Chekechea charambe mianzini
Primary Majimatitu
Secondary Mbande
Advanced Chamazi Islamic
Collage Amazon collage Rangi tatu
Kwa sasa nipo Majimatitu...
Mkuuu yaani naweza sema kuwa ni raisi wa mbagala kutambo VETA
Wasalimie sana mwanzaPoa kaka vin.
Usijali salamu zimefika Mjini hadi vijijini.Wasalimie sana mwanza
Ok kukiwa na mtu anakusumbua hapa uniambie ni Dili nae huyo mtu 🤣😁😁😁Usijali salamu zimefika Mjini hadi vijijini.
Ok kukiwa na mtu anakusumbua hapa uniambie ni Dili nae huyo mtu 🤣😁😁😁
Siku ukija mbande nicheki...Naunga mkono hoja bosi wangu hapo mitaaa ya mbagala Iko fresh sana yaani apo mmbande Kuna shangazi yangu anaishi kaka
Naunga mkono hoja 🤣😁😁 dada yanguHakuna nyangala anaweza nisumbua na wakati anajua ww ni kaka angu.
Labda kama yupo ajitokeze tuone kama anaweza kutikisa wowowo na akapewa msamaha.
Poapoa kakaSiku ukija mbande nicheki...
Nipp hapa kwa tinyango 🤴
😊😊😊😊😊Naunga mkono hoja 🤣😁😁 dada yangu