Nilikuwa kwa boda aisee maana dahUpo kwa boda 😂😂
Bado hamsikiagi kuhusu boda 😂😂😂😂😂😂Nilikuwa kwa boda aisee maana dah
Sasa tupande nini tusio na magari?Bado hamsikiagi kuhusu boda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bajaji ety 🙌🙌🙌😂Sasa tupande nini tusio na magari?
Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.Bajaji ety [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Boda ni hatareee kwa afya plz..Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.
[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.Boda ni hatareee kwa afya plz..
Bado tunakuhitaji huku wana jf sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Saaafiiiiii nimefarijika kusikia hivo 😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.
Since 2023 unamnanga kijana wa watuHivi kwa nn ulimtosaga hiyo afu tatu aliyokuomba?😂
🤣🤣😂😅unajua hata ukipata ajali utasema siipandi tanaa ila ukishapona tuu kama kawaa.Bado hamsikiagi kuhusu boda 😂😂😂😂😂😂
Mkuu wewe hujawahi elewi kuhusu boda ety🤣🤣😂😅unajua hata ukipata ajali utasema siipandi tanaa ila ukishapona tuu kama kawaa.
Muda huu nipo miembeni chips 🍟 njaa niko na boda