Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,906
- 82,168
rudisha ile avatar ya mwanzo nimeshindwa kukujua00:12
rudisha ile avatar ya mwanzo nimeshindwa kukujua00:12
Nigonge hodi home kweaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekuja bila kugonga hodi shabiki lialia wa simba sc
Ipii hiyoo?rudisha ile avatar ya mwanzo nimeshindwa kukujua
ya mwanzo ileeeeeIpii hiyoo?
Mie nawekaga nyingi, ko sema ya mdoli au picha ya mtu.ya mwanzo ileeeee
kumbeeeee haya karibu kwenye kazi ya ulinziNigonge hodi home kweaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyejii hapa.
picha ya ntu ileee yaani ulivyokuja nikasema huyu nani kumbe wewe mtoto wa kingoni cocaMie nawekaga nyingi, ko sema ya mdoli au picha ya mtu.
Nimestaafu, sema crew yetu wote tumesepaa humu!!kumbeeeee haya karibu kwenye kazi ya ulinzi
Ngoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]picha ya ntu ileee yaani ulivyokuja nikasema huyu nani kumbe wewe mtoto wa kingoni coca
kumbeee msalimie sana LamomyNimestaafu, sema crew yetu wote tumesepaa humu!!
Wamebaki wachache, kilikua kinawaka balaaa. Those days.
hako kamdoli kazuri sanaNgoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] ni mdoli au picha hii? Km animation au sielewiii?hako kamdoli kazuri sana
yeah mtoto wa kingoni hii uliyoweka ndio tamu sana yaani nzuri mnooNgoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]
ni animation hii[emoji23][emoji23][emoji23] ni mdoli au picha hii? Km animation au sielewiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtani, Una mbambamba sana.yeah mtoto wa kingoni hii uliyoweka ndio tamu sana yaani nzuri mnoo
Eeh hata mie nilikua naona ni animation vile.ni animation hii
neema za mungu hizi mtoto wa kingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtani, Una mbambamba sana.