Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,382
- 95,771
UpoNimekukosea nini jamani😀😀
UpoNimekukosea nini jamani😀😀
😂😁Hii mvua kwa wasio na kazi wala majukumu inawafaa sana
Naunga mkono hojaKwa mji km dsm mvua hizi za wiki nzima , zinawatesa akina mama wajasiliamali wadogo na mikopo yao ya kausha damu
Yaani nawaonea huruma aisee..wengine unarudisha kila siku sasa huyu hajafungua siku 3 dahNaunga mkono hoja
Hahahahaha..hao kweli Mungu awatetee aisee...Na hizi mvua za dar es salaam, kama unafanya kazi na muhindi asee mungu akutetee. 😁🙏
Nipo mkuu umeamkaje?
Nimeamka poa kabisa...tunaingia ktk mishe sasa ingawa hali ya hewa ya kwetu sio poa kbsNipo mkuu umeamkaje?
Hatari naona mvua imeunga bando la mwaka mzima non stop😀😀Nimeamka poa kabisa...tunaingia ktk mishe sasa ingawa hali ya hewa ya kwetu sio poa kbs
Hahahahaha...tena zile bando za promotionHatari naona mvua imeunga bando la mwaka mzima non stop😀😀