Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,709
- 54,577
SanaaaHahahahaha, Rafiki humu JF raha sana
SanaaaHahahahaha, Rafiki humu JF raha sana
Hahahahaha..safi..enjoySanaaa
upendo ni kitu kizuri Sana, hasa ukiona una kubalika ukiwa hai 😊😊😁Umetrend sana mwanangu mr Dell
ko mtu mbadi ume Anza uoga😁🤣Sahv nalala mwenyewe tho naogopa sana.
Mjomba wako kaenda msibani Mbezi wa Gardner
Zee la kuvizia 😁🤣
Yap ni kweli, nili jifunza Mambo mengi mazuri.Nafikiri kama ndo mtoto wa kwanza mtu lazima uwe na shauku
Hakika ni jambo la kujivunia,upendo ni kitu kizuri Sana, hasa ukiona una kubalika ukiwa hai 😊😊😁
Mmemaliza kutajanq kule sasa mko huku...safi sanaHakika ni jambo la kujivunia,
Wewe si hupendi kupendwa bhana Kaa hivyohivyo🤣Mmemaliza kutajanq kule sasa mko huku...safi sana
Hahahahaha.....we unapenda kupendwa eeh..hongera sanaWewe si hupendi kupendwa bhana Kaa hivyohivyo🤣
Eeeh na nimpendae lkn😁😁😁Hahahahaha.....we unapenda kupendwa eeh..hongera sana
Hahahahaha..safi kwa huyo umpendae ..niliona kule ushirikiano mzuri sana na MrEeeh na nimpendae lkn😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣Yule wa kilo 79?Hahahahaha..safi kwa huyo umpendae ..niliona kule ushirikiano mzuri sana na Mr
Hahahahaha mie sijui ..ila najua yupo nimeona kule mko pamoja mnashitikiana kuchat🤣🤣🤣🤣🤣Yule wa kilo 79?
Nani huyo Tena?yule mzee anayezeeka vibaya?Apuuziwe😂Hahahahaha mie sijui ..ila najua yupo nimeona kule mko pamoja mnashitikiana kuchat
Hahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?Nani huyo Tena?yule mzee anayezeeka vibaya?Apuuziwe😂
🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitakaHahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?
Hahahahaha...hapana mie aina yabwazee unaowataka siwajui...hayo majimbo ya mjini si ndio mazuri mnasemaga🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitaka
Ngoja nilewe nitakuambia aina ya wazee wangu😆😆😆Majimbo ya mjini hapana Yana vurugu sana,Bora utafute Jimbo tulivu ujipumzikieHahahahaha...hapana mie aina yabwazee unaowataka siwajui...hayo majimbo ya mjini si ndio mazuri mnasemaga
Hahahahaha...kumbe mpk ulewe doh hii kali..hao wazee kazi wanayoNgoja nilewe nitakuambia aina ya wazee wangu😆😆😆Majimbo ya mjini hapana Yana vurugu sana,Bora utafute Jimbo tulivu ujipumzikie