Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,392
Tupo pamoja Mungu atakuwa na wewe ndgu yangu ..Poor Brain zidisha maombi ndugu yangu, Leo nime maliiza robo ya lile jambo.
Mi bado nipo nasogeza hii semister kibishi
Tupo pamoja Mungu atakuwa na wewe ndgu yangu ..Poor Brain zidisha maombi ndugu yangu, Leo nime maliiza robo ya lile jambo.
Umeumua vitumbua?au ndio unangalia wafilipino tu?magodoro yenyewe tume choma moto 😁🤣
Kwa mention hizo 3, Leo natupa ma dell🤓🤣😂Umeumua vitumbua?au ndio unangalia wafilipino tu?
Ukiona mjanja kafa, ujue Kuna mshamba kazaliwakuchotana newz kujikom fuse ukibet kwa hapa umeliwa
Pamoja blood, I mean no malice to nobodyniwatakie usiku mwema familia yangu JF
01:26Ndo shida ya kula makushabu 😂 🤣, una type ka roboti la matope 🤣