mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,586
nipe mbinu chalianguππππBinu mbinu bana weeeeh
Amen ππ½Asante sanaKula la kheri USIngizini
Kwanini πkwenye usomaji tungalikua tunaambiana hivi tu wallah hakuna ambaye angekua anasoma vitabu.ππππ
lala tu huu ni uchawiKaribuni natoa kitu hapa View attachment 2958324
We njaa una ijua kweli π, Kuna siku nime pika saa 10 usikuπ€£lala tu huu ni uchawi
Hapo bablai tuma kwanza ramani ya om kwenyuunipe mbinu chaliangu
ππ€£ Naskiliziaa nyama hapo Mkuu nataka kutoa nyama mchuzi nipige daku la usiku mzitolala tu huu ni uchawi
Anaona Kama nafanya utani vilee njaa ikikuuuma usiku lazima upike aisee usiku njaa zinauma sana yaaniWe njaa una ijua kweli π, Kuna siku nime pika saa 10 usikuπ€£
kumbe unajua kilugha chetuHapo bablai tuma kwanza ramani ya om kwenyuu
no excitement, baadae nitakuonyesha kitu ππππKwanini π
kumbe kuna congoman waislamuππ€£ Naskiliziaa nyama hapo Mkuu nataka kutoa nyama mchuzi nipige daku la usiku mzito
kila mtuJamani ni kwangu tu, au nanyi hili dude Mna liona??
View attachment 2958328
Kama sio daku, empty tumbo liheshimiwe ππππVyakula vya usiku wa manane hivi ππ
View attachment 2958325
Kitu gani tena, masuala ya surprise Siya pendelei.no excitement, baadae nitakuonyesha kitu ππππ
Jamani ni kwangu tu, au nanyi hili dude Mna liona??
View attachment 2958328
Sio kila mtu, au robot mimi sina hilo dudekila mtu
nahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aiseeSio kila mtu, au robot mimi sina hilo dude
umewaza mbali sana, ni kuhusu tu kutoa overview mtu awe excited kusoma unachomwambiaKitu gani tena, masuala ya surprise Siya pendelei.
Maana nili wahi letewa mgeni Nisije mpenda π