Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Poapoa mom....am doing good sema nimeanza kuwa addicted na kula udongo...nahofia minyoo tu kunipata yaan☹️Thubutu 😂😂😂😂😂😂
Unaendeleaje lakin mamie?
Pole, itabid utafute kitu ambacho ni salama, ukihisi hamu ya kula madongo unakula hicho badala ya madongo.Poapoa mom....am doing good sema nimeanza kuwa addicted na kula udongo...nahofia minyoo tu kunipata yaan☹️
Nilikusoma haraka . kigamboni hapo ndo kulalama baridi? Vin1:27 AM 😎
Asante sana cute....najitahidi sana kukimbilia kunywa maji....na inafanya kazi kiasi fulaniPole, itabid utafute kitu ambacho ni salama, ukihisi hamu ya kula madongo unakula hicho badala ya madongo.
Vzuri sana unaweza pia tafuna nazi, bisi, na vitu vingine vingineAsante sana cute....najitahidi sana kukimbilia kunywa maji....na inafanya kazi kiasi fulani
Una tamani unge kuwa na uwezo wa ku skip mda😀1:21 AM
Imagine mtu anaona uvivu kulala
nina uraibu wa jfUna tamani unge kuwa na uwezo wa ku skip mda😀
Achana na hizo bisi zenu ngum ngum, Kuna bisi hizo weiweeeh.ndo nini?
huku arusha ni screwdriver
sasa SI wengine huwa hatuko focused Sana na hiyo miguu.the same time i pull the trigger equalized to the time the legs are opened,.
nipo nipo tu kitandani nakodolea screen01:36
Achana na hizo bisi zenu ngum ngum, Kuna bisi hizo weiweeeh.
Hujalala hadi sa hii mbona?
Tweeter na you tube huwa Zina maliza mda wangu sometimes.nina uraibu wa jf
😂😁Nilikusoma haraka . kigamboni hapo ndo kulalama baridi? Vin
Barikiwa sana mom🙏🏽Vzuri sana unaweza pia tafuna nazi, bisi, na vitu vingine vingine