JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aaliyyah, Suhendra mje muelekeze Toto hii jinsi ya kupika πŸ€—
Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda

Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz

Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
 
MAHARAGE YA FUTARI
Maharage yaliyochemshwa
Kitunguu maji, Iriki,hoho,karoti na sukar kijiko kimoja
Nazi ukipenda sio lazima

Bandika maharage Yako weka iriki,hoho,karoti na sukari funika vichemke kama.una Nazi weka Nazi acha iive
Poor Brain ila hii combination ya viaz na maharage gesi yake sio ya nchi hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda

Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz

Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
Toto zuri, kupika una jua, Tabia nzuri, sijui huwa una nikataa kwanini 😁😁 Aaliyyah
 
Dear albin Half american As I told you! Don't dwell in that comfort zone!! my condolence to you and your clue. My mwenyekiti he is a wrongdoer, So You are just a little baby gangπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tell hiyo nusu albino Half american, he is messing with the wrong crew.

Tuta mpika Kama maharage, Kisha tugawe Nyama yake kwa sungusungu πŸ€“πŸ€£πŸ˜
 
Sijui nijitoe vipi mwenzio Shadow7 kwake nimekufa nimeoza....tatizo ana pumzi Kamanda huyu...hashuki haraka akikwea πŸ₯° daah....maskini mie🧐
Najua maana sio kwa yale mabio yao,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… but spid ya pumzi yake iko sawa na fungu la service charge anayoacha? Then come to your real sense prettyπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom