Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,808
Kazi kwenu sasapamoja sanaa
Kazi kwenu sasapamoja sanaa
Ulimuona dunia yangu, coz tumeanza kufanana sanaKuna kipindi nilikuonaga kambini lugalo tajiri na nyota zako 3
Em niacheni tafadhali 😒Nimeanza safari ya penzi na wewe. Usikatishe Mungu mwema baba, mbali atufikishe. Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike
Nipo hapa
Karibu sana mtoto mzuri from upareniNipo hapa
Dah kumbe huyu ni mtu mbad sana , hio misemo yake tu siielewagi imekaa kisojasoja Fake P mtu wa maana sana weweKuna kipindi nilikuonaga kambini lugalo tajiri na nyota zako 3
Iko kidoti chako kinaniacha hoiii bin taaban utanifanya nikweee mnazi na hii Hali ya hewa 🥴🥴🥴🥴Em niacheni tafadhali 😒
Mlale salama...Mungu awalinde[emoji1431][emoji19]
Ni komandooo wa kike huyu na pia ni tajiri mwenye mabasi 3 yanayo enda mikoaniDah kumbe huyu ni mtu mbad sana , hio misemo yake tu siielewagi imekaa kisojasoja Fake P mtu wa maana sana wewe
Nilikuwa naenjoy kusoma Convo zenu dearlyuna maisha marefu bestie yan ni hausemwi[emoji23]
Nilikuwa naenjoy Convo zenu dearly
😋natamani nikuone unavyojipiga msasa😊Iko kidoti chako kinaniacha hoiii bin taaban utanifanya nikweee mnazi na hii Hali ya hewa 🥴🥴🥴🥴
Unatembea na roho yangu wangu ❤️😘😍✌️ usiku mwema mungu akulinde na watu wenye husda kesho ntakununulia abaya la kisomaliMlale salama...Mungu awalinde🙏🏽😒
huchoki kuniburudisha mimi🤣🤣🤣wasumbufu hao wananipendea kidoti na kitumbua tu🥴
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂![]()
usiniambie umeanza kumuelewa huyu adui yetu na new I'd kiasi hicho Sis. . hiyo misemo sameja wangu wa mujibu wa sheria alinifundisha![]()