DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,229
- 32,034
Njombe nako hola.03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.
Shift ya night, heavy duty generator imezima😄
UPS NAYO INAPIGA ALARM
Njombe nako hola.03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.
Nilikuja kuangalia Usalama kama watu bado wamelala, ili nivushe maana hili baridi litaniua Babu yenu 😜Mzee wa mchongo leo uko lindoni
Kuna uwezekano mkubwaHuu umeme umekata tz nzima?
Hoja ya msingiKuna uwezekano mkubwa
Tuendelee kuimarisha Lindo
Moro pia giza tokea saa nane03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.
Tumfurahishe mama 2025.Nchi nzima hakuna umeme
Halafu tunataka kusafiri na treni ya Umeme 🙌Moro pia giza tokea saa nane
Moro pia giza tokea saa nane
Tumfurahishe mama 2025.
why you think sky it's the limit...04:30 AM