Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,141
Ndioo MkuuAsante mkuu, wale mapopo kina Chakorii siku hizi hawakeshi?
Ndioo MkuuAsante mkuu, wale mapopo kina Chakorii siku hizi hawakeshi?
Bora umekuja tulinde aisee02:06
Waamshe wale daku jamani.Ndioo Mkuu
😂🤣😁😁Waamshe wale daku jamani.
Afu zile ngoma za zamani za kumashana kula daku hazipo kabisa siku hizi.Nimemisi sana aisee😂🤣😁😁
Karibu lindo mdau,Zungukia upande ule mwingine.2:16
yaan sijui wana mpango ganiMBWA hawa wamekata Umeme saivi .
Huku nilipo Umeme umekatika tangu saa 7 usiku 🙌03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.
tabata pia hakuna03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.
Mzee wa mchongo leo uko lindoniHili tatizo la Kukosa Usingizi linatukumbuka sana Wazee 😜🙌
3:34 AM
Na Arusha tuko Gizani piatabata pia hakuna