Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,179
2:27 AM mungu amesikia kilio changu aisee Asante sana mungu
Huu ni ushuhuda ? au? mungu ni kitu gani?2:27 AM mungu amesikia kilio changu aisee Asante sana mungu
Amenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍Huu ni ushuhuda ? au? mungu ni kitu gani?
Hongera mkuuAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍
unamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sanaMbona banned mkuu umekosea wapi tena
😁😂🤣😁😁unamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sana
Nimeona I'd yake banned baada ya kucomment tu ndio nkashangaa kuna nini kimetokea ghafla hviunamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sana
Umekua Mzazi, au baba haha hongera VinAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍
😂🤣😁😁🤣🤣🤣🤣Nimeona I'd yake banned baada ya kucomment tu ndio nkashangaa kuna nini kimetokea ghafla hvi
Asante sana dada yanguView attachment 2949605
Karibu tuishi mkuu
ananipa(ga) ushauri nikamwambia haya hayamkuti mbwa, naona ameyakanyaga mdg wanguNimeona I'd yake banned baada ya kucomment tu ndio nkashangaa kuna nini kimetokea ghafla hvi
😂😁🤣🤣😁😂😂ananipa(ga) ushauri nikamwambia haya hayamkuti mbwa, naona ameyakanyaga mdg wangu