Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Young Africans Katika Kuliwakilisha Taifakwahiyo nyote mpo kweny mpira au
Young Africans Katika Kuliwakilisha Taifakwahiyo nyote mpo kweny mpira au
🔥🔥🔥Wale tunawafungia kwao
Naunga mkono hojaWale tunawafungia kwao
Aucho Pacome & Yao Watakuwepo Huyo Mamelod Atapigwa Kama Ngoma Maana Mlimsujudu Sana.dakik 90+ zimeisha shadow wangu umeshindwa kufunga goli hata moja[emoji23]
Halafu huyu unamjua kabisa na ukiambiwa hutaamini sameja nimemdharau sanaMkuu why unafanya haya yote?
Naunga mkono hoja kakaAucho Pacome & Yao Watakuwepo Huyo Mamelod Atapigwa Kama Ngoma Maana Mlimsujudu Sana.
Kwa Kikosi Tulichochezesha Leo Tungecheza Na Al Ahly Angepata Ushindi Kirahisi Sana.
Sasa Subiri Mamelod Tunaenda Mfunga Kwake Pale Pale Kwa Madiba
Yoo nipo mbona02:04
Madume yapo yanakoroma tu
😂🤣02:04
Madume yapo yanakoroma tu
upo unakoroa askari muogaYoo nipo mbona