Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,833
Hahahahaha...niseme nn mie..niko km mtazamaji huru hapasema neno nafsi yangu ipone jirani[emoji23][emoji23]
Hahahahaha...niseme nn mie..niko km mtazamaji huru hapasema neno nafsi yangu ipone jirani[emoji23][emoji23]
Uko poa mkuu?Hamjambo hapa JF usiku wa manane...
Niko poa mkuuUko poa mkuu?
Hamjambo hapa JF usiku wa manane...
Pole sana mkuuIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Pole sanaIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Usijali kipenzi kwa hilo tu hapa umefika
Safi sana..imekaa vzrnakuaminia beiby
Very painful....jana nimekesha nikilia...moyo ulipasuka....sijaenda job nimeenda kwa mama yangu nikapate true love niliyoizoea from her[emoji20] lakini nashukuru imenifanya nikue zaidi.
Ishawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Naku
Dah!! Yatapita madamIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Hayana mwongozo tumalizie kwaresma achana nayo hayoNilijua sitoumia afu nikaumia eti🤣🤣🤣✌️
Nilijua sitoumia afu nikaumia eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Barikiwa sana ..ulale salamaHayana mwongozo tumalizie kwaresma achana nayo hayo
Safi sana..imekaa vzr
Hiyo Mali safi comrade nanyonyaga hadi k hapoUsisahau Azuma ukitoka hapo😁
Aminia naona uko na shem kdgpamoja sanaa jirani[emoji847]
HahahahahaKumbe nilimpenda kweli...🤣🤣🤣🤣🙌🏿
Aminia naona uko na shem kdg
Kumbe nilimpenda kweli...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544]