Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,788
- 58,400
Mmmh kijana endelea na kama ungekuja huku ungekua NANGA OGKenge wee😂, acha waku jaze, ili uje kupasuka🤓😂
Mmmh kijana endelea na kama ungekuja huku ungekua NANGA OGKenge wee😂, acha waku jaze, ili uje kupasuka🤓😂
Maji hana....😂😂😂😂😂Mweupe tu huyo dogo 😅
Basi auntie yako Ina onesha ni wale wa tandale ehh🤓😂, maana huo ni uswahili 🤣""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kula
Upuuzi mtupu"""
😂😂😂😂😂😂 Alisemq antiel angu
Kaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwako😂Mweupe tu huyo dogo 😅
Bad things happen to good peopleBeing trusted is a greater compliment than being loved
Aisee una laana😂😂, huu SI uzinifu Sasa 🤣Daku.
Karanga + Maji mengi..
Kijiko cha moto kuliko sufuria pata picha hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁@analyse
Yani mpaka naibiwa, Mimi nakuwa wapi time hiyo? 😅Kaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwako😂
Kaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.Una lolote, dogo umekulia kota wewe 😅😅
Lakini siku zote waenga walisema ukitaka Mali utaipata shambani, msemo huu ni kweli na hakika.Doria kenda inaanzoa mbezi bonyokwa
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Aisee una laana😂😂, huu SI uzinifu Sasa 🤣
Wew ni mtoto wa kota, pigo hizo huziwezi kabisa 😅Kaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyo🤣😂😂
Walizani choo cha kukaa, kumbe ni kuchuchumaaKaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyo🤣😂😂
Kaka taja mtaa wako na namba ya nyumba, utakuja kutoa mrejesho🤓😂Yani mpaka naibiwa, Mimi nakuwa wapi time hiyo? 😅
Kwenye ulingo wa ngumi, Wao wame leta mitutuWalizani choo cha kukaa, kumbe ni kuchuchumaa
Una bima ya afya? 😅😅Kaka taja mtaa wako na namba ya nyumba, utakuja kutoa mrejesho🤓😂
Mwizi Bina yake ni Sera zetu panga mkononi, Roho begani,😂😂Una bima ya afya? 😅😅
Hakuna mtu anaepotea njia wakati wa kurudiKwenye ulingo wa ngumi, Wao wame leta mitutu