Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Back benchers ni wataalamu wa nyeto la kimyakimya 🥴Nipo daily, sema back benchers hatunaga maneno mengi Wala fujo 😅
Back benchers ni wataalamu wa nyeto la kimyakimya 🥴Nipo daily, sema back benchers hatunaga maneno mengi Wala fujo 😅
Karibu kwetu mbande, chamazi, bamia,kiponza, mpaka kisewe✌️🙏🏽🙏🏽
Barikiwa sanaKaribu kwetu mbande, chamazi, bamia,kiponza, mpaka kisewe
Napenda Uhuru wangu 🤓, masuala ya kuwekeana sheria ni kasheshe😂Sana kamanda. Nakuaminia, sio kama Intelligent businessman alichaguliwa aende jeshini kwa mujibu, akakimbia 😅
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Kumbe ulikula nyati...Asha liwa kijana, Ali uzwa watu Waka beba, Sema ni mtamu 🤓
Kama kula chakula ni u hovyo, basi na nirogwe 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Kumbe ulikula nyati...
Daaah aiseee kijana hovyo wewe
Wewe sio back benchers ila unafosi....hakuna mtoto wa mwalim anayekuwaga back bencher😅😅Aisee mi mwenyewe back bencher, ila sikuoni, au Utakuwa nyuma ya darasa🤓😂
😂😂😂😂😂 Doooh yaani ujanja wote huo...Sana kamanda. Nakuaminia, sio kama Intelligent businessman alichaguliwa aende jeshini kwa mujibu, akakimbia 😅
👊👊👊👊👊 Umetisha mwaisà 😂😂😂😂Barikiwa sana
Wanawake wote alafu nipige nyeto?? Can never be me 😅😅Back benchers ni wataalamu wa nyeto la kimyakimya 🥴
Kaka Mzee wangu alikuwa mwizi tu, na ndicho nilicho rithi 😂.Wewe sio back benchers ila unafosi....hakuna mtoto wa mwalim anayekuwaga back bencher😅😅
🤣🤣umekataa kabisa😁Wanawake wote alafu nipige nyeto?? Can never be me 😅😅
Kenge wee😂, acha waku jaze, ili uje kupasuka🤓😂😂😂😂😂😂 Doooh yaani ujanja wote huo...
Ngoja sasa nianze kumpa uelekeo...
Intelligent businessman SHONA
Mweupe tu huyo dogo 😅😂😂😂😂😂 Doooh yaani ujanja wote huo...
Ngoja sasa nianze kumpa uelekeo...
Intelligent businessman SHONA
Hahahahaha..huo ni usaliti utakuaTukishirikiana tunakugeuka lindoni🤒
Tena nimekataa kwa nguvu zangu zote 😅🤣🤣umekataa kabisa😁
""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kulaKama kula chakula ni u hovyo, basi na nirogwe 😂
Kwa nyie ..Lindo ndo limeanza mkuu
Una lolote, dogo umekulia kota wewe 😅😅Kaka Mzee wangu alikuwa mwizi tu, na ndicho nilicho rithi 😂.
Sera zetu panga mkononi
Roho begani