Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,178
- 100,788
Sawa mkuuπ€£π€£tulia hapohapo mkuuπ§
Amini kwamba, uchawi upo π π π .....maana siamini huu mchongo umeusanukia vipi. Nilishapanga kusepa na Kijiji kimya kimyaNaona we ndo unaniharibia, dahh uchawi upo
Lindo ndo limeanza mkuuLaleni kuna dili naisikilizia hapa
Tupo mapema sana mwamba...pamoja sana
Yeah man. Jana na leo
Nanjilinjii boy Niko poa kabisa π€
Tukishirikiana tunakugeuka lindoniπ€Nawakumbusha tu lindo liko salama..afande mjeda niko kamili
bro SI useme Sasa hivi, hiyo Jana ya wapi πYeah man. Jana na leo
Nakubali nakubaliiiiiiiiTupo mapema sana mwamba...pamoja sana
Nakubali nakubali sana..ππππππππYeah man. Jana na leo
Yule nyati mlimfanya ninj kaka ahahahahhahahaNanjilinjii boy Niko poa kabisa π€
Sema una taka kuiba share za Walinziπ€π, Nime isanukia hiyoπ€£Yeah, leo nitasimamia ulinzi wa ili eneo......mnaweza kwenda kulala π
Nipo daily, sema back benchers hatunaga maneno mengi Wala fujo πbro SI useme Sasa hivi, hiyo Jana ya wapi π
βοΈππ½ππ½Nakubali nakubaliiiiiiii
Wanangu wa kukulumbwilu
ππππππ
Asha liwa kijana, Ali uzwa watu Waka beba, Sema ni mtamu π€Yule nyati mlimfanya ninj kaka ahahahahhahaha
Sana kamanda. Nakuaminia, sio kama Intelligent businessman alichaguliwa aende jeshini kwa mujibu, akakimbia πNakubali nakubali sana..ππππππππ
Aisee mi mwenyewe back bencher, ila sikuoni, au Utakuwa nyuma ya darasaπ€πNipo daily, sema back benchers hatunaga maneno mengi Wala fujo π