Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,843
Kwema kabisaMko vizuri, kwema lakini mkubwa.
Kwema kabisaMko vizuri, kwema lakini mkubwa.
Ni kheri Kama uzima upo, product ya miwa una ifahamu ??Kwema kabisa
Hapana mkuu ..ni nini hyNi kheri Kama uzima upo, product ya miwa una ifahamu ??
Sugar mkuu, Nime tonywa ipo ya wale wazee wa nchi ya soka.Hapana mkuu ..ni nini hy
Yaani tuagize sukari toka Brazil kisha tuuze ? au nimeelewa vby ?Sugar mkuu, Nime tonywa ipo ya wale wazee wa nchi ya soka.
Na Ina vibali na utaratibu wote, Bei pia ni rafiki.
Kama una weza tuna weza litazama hili mkubwa.
Inategemea na saa yako..na wapi ulipo ..Usiku wa manane ndo tayari au bado
IPO Humu Humu mkubwa, wenye mashiko na dhamana kubwa tayari wanayo na Wana isambaza kwa baraka za wakubwa.Yaani tuagize sukari toka Brazil kisha tuuze ? au nimeelewa vby ?
Tayari momUsiku wa manane ndo tayari au bado
Kwahiyo nimwage tu radhi/ ladhiTayari mom
Ndiyo cute🤣🥴Kwahiyo nimwage tu radhi/ ladhi
Umenena vyema mkuuSema ulikuwa virtual world ya ndotoni🤓😂
Nipo huku tambaautwikekapulanyege 22:03Inategemea na saa yako..na wapi ulipo ..
Doh ngoja nifumbe macho nisioteKwahiyo nimwage tu radhi/ ladhi
Jana lindo nilikuwa mwenyewe aiseeUmenena vyema mkuu
Hawa Recruits wapya hawakuepo?Jana lindo nilikuwa mwenyewe aisee
Moto umewaka mapemaaa🤣🤣🥴Duh! Walinzi wa leo kazi ipo
Leo mpo wote tushindwe sisi tu😂Moto umewaka mapemaaa🤣🤣🥴
Kwa Sasa labda watokee sayari ya mars😂, hakuna anae weza kulinda tenaHawa Recruits wapya hawakuepo?