Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,707
Mbona mmeingia lindo mapema; hamjala mkashiba?
23:15+
Mpaka jogoo awikehope leo ni mim na wew mpka kukuche[emoji23][emoji23]
Mpaka jogoo awike
Watakuwa na kazi ya ziadahawa walinzi sikuiz wamekua wavivu kweli kuwahi lindoni
Watakuwa na kazi ya ziada
Uchawi ni wewe tu cute.....tusiroge watoto wa watukabisaa kungwi,, nikikaribia kweny ndoa naomba tuandae na group la watsp unifunde nifundike[emoji23][emoji23] nikamloge mtoto wa ma'mkwe na MAMBO"" na sio uchawi[emoji1787][emoji1787]
Achana nao hao mom...vizurureweeee dada una mambo mazuri nyieee,,, Rain.., shadow mpo wapi jamani tatizo mnazulula mno em mtuliage sehem moja ona sas mnapitwa na dalasa
Achana nao hao mom...vizurure
🤣🤣🤣🤣 nitakutana nao keshonimewaacha da kidoti ila wakija wasije wakanisumbua kutaka samare[emoji38]
Hivi mpenz,ukianza jisikia uvivu kwenda job huwa unajibusti vipi? Maana☹️nimewaacha da kidoti ila wakija wasije wakanisumbua kutaka samare[emoji38]