Hapana nimeandika tu mkuuBila shaka uliishi usukumani.
Hawo jamaa huko usiwaambie habari hizo
Leo tunakesha mpak usku wa mananeunakuja na kusepa chap kama jini kabula
Acha kuvimba bichwa [emoji3][emoji23], siku hizi Ume kuwa muuza duka, una lala Sana[emoji1787]
Kufungua Uzi : 0000HrsHakuna muda wa kufungua na kufunga uzi.?
Vunja miguu, na makomwe yao 😄😄Lindo nimebaki mwenyewe. Vijana wana mapuuza sana
Kaka Mimi nime staafu ulinzi, Sasa hivi nina over see ulinzi operation tu 🤓
Mzee nime tumikia ulinzi kwa level ya juu mno, Sasa naachia ngazi na wengine wapiteNyie vijana umri bado unawaruhusu
Kaka mimi nime staafu ulinzi, Sasa hivi nina over see ulinzi operation tu 🤒