Saivi nimepanda rank wananiita afande sioooooSamejaaa baba mlezi 🤣 🤣 🤣
Ma sinia wapo range kule leo mnalinda nyiemi junia wa mwisho V 🤣🤣🤣 Ita sinia
Nitaenda hospital kesho nikiona bado sipo Sawa Baba...Asante kwa kujali😍Aaah! Traditionally method?
Usijali mkuu tupo kwaajili yako 😎Nitaenda hospital kesho nikiona bado sipo Sawa Baba...Asante kwa kujali😍
Barikiwa sana 🙏🏽🙏🏽Usijali mkuu tupo kwaajili yako 😎
🤣🤣🤣🤣🙌🏿ma sa meja ndiyo majukumu yao kujali wafuasi 🤣 🤣 ila wazeee machachali sana wakiweka ugoro wao @ Shadow7
AmenBarikiwa sana 🙏🏽🙏🏽
detail yangu ya mapema mpaka sa 1 naenda kumwaga mate 🤣 🤣 🤣 tunakabidhi kwa vijana balobalo Intelligent businessman Na wafuasiRaine Col kwani leo zamu yako Lindo?
Haya sawadetail yangu ya mapema mpaka sa 1 naenda kumwaga mate 🤣 🤣 🤣 tunakabidhi kwa vijana balobalo Intelligent businessman Na wafuasi
Nasema hivi,ashukuru yupo mbali....maji angeita mma🤒Anadai ulikua kitengo K.P (Kula Potea)
Kwa vile kesho ni kanisani ngoja tumsameheNasema hivi,ashukuru yupo mbali....maji angeita mma🤒
niligoma kufungua miguu, kitengo kunyimwa na kuwindwa usiende mpango kazi weeeee 🤣 🤣 🤣Anadai ulikua kitengo K.P (Kula Potea)