mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
ni kama upo high 24/7🤣Mzalendo wa tanganyika 🤣 kenya whowhere
tabia za wakenya
ni kama upo high 24/7🤣Mzalendo wa tanganyika 🤣 kenya whowhere
Alikuwa ana twanga lugha gani ??, 😆🤓 usi nambie kijerumani 😂Kwanini nishindwe,bahati nzuri au mbaya nayeye kingereza sio lugha yake ya kwanza haha man it was so sweet 2012
Eminem kwenye top 3 yangu hayupo,labda 5Nita icheki Buddha, mi ni fan wa Eminem kinyama, sioni rapper wa kumshabikia
Mwamba akaishiwa cha kusema.Best movie by the goat🤒🤒, kwenye huyo battle pichani, Ali ji diss, Kisha aka m destroy mwamba.
View attachment 2934748
Kuja unipe joto kuna baridi huku
na wewe huko nilipokuacha kuna usalama?ukiwa huku we ni wengu ukiend hukooo unakuwa wa wengine... thitaki nakwambia nina wivu[emoji23][emoji23][emoji23] tena mkali
Nilikaa nao nilisoma kwao 🤣 twende vivyohivyoni kama upo high 24/7
tabia za wakenya
Hah kwa hili Siri yangu Mimi naweweAlikuwa ana twanga lugha gani ??, 😆🤓 usi nambie kijerumani 😂
Yaani mtu ana jlipua, Kisha ana kupasua🤒Mwamba akaishiwa cha kusema.
me o keKuna jirani yangu sijui ni member wa huu uzi, ikifika hii mida ndio anaanzaga kupika dagaa wa kukaanga wananukia. Sio muislam kwamba anapika daku. Na nyimbo zake boringo za kitambo Loketo Mabele... Samba Ma nn sijui..
And it shall be stored well kakaHah kwa hili Siri yangu Mimi nawewe
Kaka nialike, nije na ugali😂🤓Kuna jirani yangu sijui ni member wa huu uzi, ikifika hii mida ndio anaanzaga kupika dagaa wa kukaanga wananukia. Sio muislam kwamba anapika daku. Na nyimbo zake boringo za kitambo Loketo Mabele... Samba Ma nn sijui..
na wewe hupo nilipokuacha kuna usalama?
naogopa wenye pesa zao wananiibia
Hahahaa mwamba.. demu apige pini za ivo ..me o ke
haya nitafunga safari nije bila taarifa nihakikisheusalama upo mwingi tu...
hakuna wa kukuibia bwana,, moyon mwangu upo wew pekeako
🤣 🤣 Mbona mimi hizo nasikiliza kwenye kunakipindi cha tbc fm kwanzia sa saba usiku, nasikilza hadi nalia🤣🤣Hahahaa mwamba.. demu apige pini za ivo ..
Hii ni uongoooo. ni uoongo buaana🤣🤣🤣🤣, moyon mwangu upo wew pekeako