JamiiForums Usiku wa manane
Natuma salamu kwa
1. Neybright na baby wake Joseverest

2. jje's na kipenzi chake Kichwa Kichafu

3. Maserati na baba chanja wake Manga ML

4. No Escape na bundi mzoefu alibakari

5. Walimu wangu Nleterewa Nganengo na Mwifwa

UJUMBE: Heri kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki
Thad mydear friend I really miss you ujue. Hii comment yako imenifurahisha sana jamani.
 
Saa ngapi huko kwa Myweather Pogba sizo?



"Chuki dhidi ya serikali iliyopo ni kubwa sana sana"

Watanzania daini katiba mpya na tume huru ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom