Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,579
Tunakimbiza Mwizi Kimya Kimya Mkuu.03:32 una vizia Sana bro[emoji16][emoji1787]
0343Hrs
Tunakimbiza Mwizi Kimya Kimya Mkuu.03:32 una vizia Sana bro[emoji16][emoji1787]
03:36 acha Nika sikilize space tweeter.
Wewe tulia, mi ni expert wa ulinzi😀Ukiingia Space Ndio Kwisha Hiyo Alfajiri Hii Hapa Brother [emoji23]
Sema una lala, muoga weee 04:10Tunakimbiza Mwizi Kimya Kimya Mkuu.
0343Hrs
[emoji23][emoji23][emoji23]Sema una lala, muoga weee 04:10
Hahahahaha
Big vp! Ushamaliza kuangalia movie?
Umeamkaje?.......mapema yote hii?
🤣🤣🤣 tatizo Kichwa KichafuNotification Yako Imenirudisha Hapa Halafu We Unakimbia
Umeme ulikatika Profesa Jobless sa mi ningefanyaje 🤣 🤣 🤣 🤣 we mwenyewe unajua
Kuibiwa kwenye hiyo biashara kupo sana, mwenyewe nisingekuwa nimebanwa na shughuli za Kilimo ningeingia mwenyewe kusimamia......Mzee acha uvivu😁, nilionana juzi na mmiliki wa Congolese lodge.
Ana Lia kuwa ana ibiwa Sana, we lala sasa
Usingizi hauzuiliki..........ila umepoteza skills muhimu sana, pengine ungekuwa unanifundisha na Mimi Babu yako namna ya Ku-meditate saivi 🤗tulikua tunafundishwa na kipindi kabisa alfajiri sana secondary huruma girls na masister ila sisi wengine tulikua tunaona sehemu ya kumalizia usingizi tu 🤣 🤣
Bro we una hisi mi napenda movie Sana??, nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina.Big vp! Ushamaliza kuangalia movie?