Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,506
- 16,599
Kila nikifikiria kutaka kufanya meditation nahisi kama nafanya ibada na mashetani hii ni akili ganiWanasema muda huu ni mzuri kufanya tafakuri ya mwenendo wa maisha/biashara/mapenzi pia kufanya reconciliation na Mola wetu
Maana anga linakuwa letulia kabisa
01:12 AM