Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
Hivyo hivyo mkuu, Juzi Kuna madogo wame shikishwa tenda ya kusambaza sukari.Huko kama nyumbani channel nyingi sana za kufanya tatizo wanabana sana hata uwe muadilifu kiasi gani
Lakini ndio third world zilivyo tutapambana tu
Usijali bro, anytime
Hizo ndio za kufukuziaHivyo hivyo mkuu, Juzi Kuna madogo wame shikishwa tenda ya kusambaza sukari.
Aisee ni tonge la kooni kabisa, maana wata tobolea oale.
Acha tuzidi kukomaa
Huyu salamanca wa Breaking BadUsingizi hakuna..
Pamoja bro.Hizo ndio za kufukuzia
Ipo siku itakubali kwako pia
Riziki kama ipo haitachelewa boss
Acha kutu yeyusha, ni better call Saul bhana.Huyu salamanca wa Breaking Bad
Basi nikajua HectorAcha kutu yeyusha, ni better call Saul bhana.
Broo unajua kuimba na kuandika nyimbo?02:01
I'm alive again
More alive than I have been in my whole entire life
I can see these people's ears perk up as I begin to spaz with the pen
I'm a little bit sicker than most, shit's finna get thick again
They say the competition is stiff, but I get a hard dick from this shit
Now stick it in.