Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,528
Hata la 1 sija Soma broJeiefuu nasikia wote wana PhD kwako imekuaje tena?
Hapa nina hasira usafiri ume delay na ninaingia asubuhi kaziHope sio vitani๐ค.
hapo kweli ni miyeyusho, sema bro si utupe ma deal wadogo zako ma jobless.Hapa nina hasira usafiri ume delay na ninaingia asubuhi kazi
Masaa manane flight โ๏ธ
Bora vita kuliko hii
Usha jimilikisha ๐๐
๐๐๐ Emu we tulia hapo basi mboni una nongwaUsha jimilikisha ๐๐
I wish mdogo wanguhapo kweli ni miyeyusho, sema bro si utupe ma deal wadogo zako ma jobless.
Siku Nikiwa interested kuja huko, I will check you brother.I wish mdogo wangu
Ila kwa Mungu madogo tunaweza kukutana siku moja
Kazi nyingi ila kama ukifanikiwa kuingia
Tuombe uzima
Miyeyusho is being typed ๐๐๐๐๐ Emu we tulia hapo basi mboni una nongwa
Huko kama nyumbani channel nyingi sana za kufanya tatizo wanabana sana hata uwe muadilifu kiasi ganiSiku Nikiwa interested kuja huko, I will check you brother.
Ila huwa na feel hapa ea pata nitoa, sema tuzidi kuomba kheri.
๐Maana Kuna info nyingi za kujuzana.