mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,938
unampataje pataje kwanza humu00:22
JF bila mpenzi ni kichaka cha upweke!
unampataje pataje kwanza humu00:22
JF bila mpenzi ni kichaka cha upweke!
We bado mdogo, ngoja ngoja kwanza ukue uchukue notes kwa kaka zako.unampataje pataje kwanza humu
Wao wanasema hayana muongozoWe bado mdogo, ngoja ngoja kwanza ukue uchukue notes kwa kaka zako.
Sasa mbona unautaka huo muongozo wa jinsi ya kumpata? LolsWao wanasema hayana muongozo
Mkuu Iringa chimbo gani hiloNamalizia samaki wangu wa mwisho nikalale
Ila tatizo ""Dj mtamu sanaa, anapiga pin huyooooo""
Wale wa Iringa mjini tuonane niwanunulie bia woteeee...
Niko mji wenu leoo
View attachment 2822772
#YNWA
ngoja tuone00:53
Kuna wao, halafu kuna sisi ambao leo tunakesha kwa lazima!