JamiiForums Usiku wa manane

🤪🤪 Kwani uongo. Hata sura yako nahisi itakuwa nzuri sana mamy k.

Siku ukiachwa unitafute najua kubembeleza mwanamke mpaka aone dunia ni yake sawa mamy k 😁😘.

I love you internet stranger 😊😀
Tobaaa kumekucha (in King Majuto's voice)🤣🤣🤣
Majiraniii amkeniii....napendwa huku Jf🤣🤣🤣
Ila Una uhakika unanilove kweli au akili za usiku tu🤣🤣🤣
 
Tobaaa kumekucha (in King Majuto's voice)🤣🤣🤣
Majiraniii amkeniii....napendwa huku Jf🤣🤣🤣
Ila Una uhakika unanilove kweli au akili za usiku tu🤣🤣🤣
Naku love kweli provided your beautiful. 😂😍.

Nimeshavunjwa moyo na wanawake 9 wa JF kisa kuuziwa mbuzi kwenye gunia i hope kwako haitokuwa hivyo.

Mamy k 😁😁 accept my request pls
 
Naku love kweli provided your beautiful. 😂😍.

Nimeshavunjwa moyo na wanawake 9 wa JF kisa kuuziwa mbuzi kwenye gunia i hope kwako haitokuwa hivyo.

Mamy k 😁😁 accept my request pls
Mie Lishangazi ntakubemenda bure mtoto wa watu....ndugu zako wakutafute Kama Mboso.🤣🤣🤣
 
Mwari wangu weee....naogopa balaa, natamani kukuche🤣🤣🤣 Nashukuru JF inanipa kampani🤣🤣🤣
Tungekuwa wote hapo usingeogopa tungekuwa tumelaliana tunanyonyana mate 😛🤪😂
 
Mwari wangu weee....naogopa balaa, natamani kukuche[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nashukuru JF inanipa kampani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Polee baba K arudi jamani, yaani JF inatoa kampani sana, ukizurura kwenye nyuzi mbalimbali unakuta muda umeenda hapo chap kunakucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…