Wewe bado unawashwa na mimi sio? Kama umetungiwa story mbona ulikimbia? Mbona huyo demu hajaja kukanusha? Ulizani mimi mnafiki kama wewe, hukujua kama ninataarifa zako. Usijifanye innocent mbele za watu, wewe ni mbwa tu mla mizoga. Una post madem classic, unakula pimbi kama Tinsley.
Acha unafiki, hata huyo pimbi alichokwambia kunihusu ni kile nilichoamua mimi ajue kwa lengo la kumkwepa. Halafu ulidai unaenda Arusha kunitafuta, huko mbali sana, niko karibu na wewe kuliko alivyokudanganya. (hiyo location ilikuwa decoy tu) . Tafuta siku, pendekeza location nije ili useme vizuri shida yako. Fanya hivyo, huyo malaya wako Tinsley awepo pia.
Naongea na wewe, nijibu mimi. Tunaongea pm na nani? We si ulisema amenikataa sasa amefikaje PM.
Hapa ni National Anthem na Rabbitus wewe si ni kidume, tumuweke pembeni huyo *****.
Karibu sana, utapata haki yako unayostahili. Nilikuvungia ukaniona mjinga, sijatoka mkoa mimi, usivamie jiji hapa sio bukoba dogo.
Bora jana nililala mapema, haya sasa kumekucha tukachanganyikiwe na maisha....Good morning wakeshaji wotee
Aisee..
Naona ume kuja na Huku😂🤣🤣🤣Afu wewe mbona hujaniita me si dada ako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu jiraniAfu wewe mbona hujaniita me si dada ako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona ume kuja na Huku[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu jirani
Nenda Jukwaa lako, kama mbabe kweli🤣😂😂😂Me km maji wasiponinywa watanioga [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Jana nilipewa ban mara 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sanaMe km maji wasiponinywa watanioga [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Jana nilipewa ban mara 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF kuna member vigagula sema wamekosa ungo wapae chiu tu!Pole sana
Mbona nipo kule 🤣🤣🤣🤣Nenda Jukwaa lako, kama mbabe kweli🤣😂😂😂
Niliona umekula ban best, basi ikabidi niwe msomaji kimya kimya nisllije ungana na nyie nikose umbea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yaani kila kona bro anamwaga madiniWewe si nilikwambia uwe unaniita? Hivi ushost wangu me na wewe wa vipi? Trudie sikuelewi ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ni nani aliyeweka limguu kubwa selfika, unajua picha hazifunguki zote mpaka nitumie web na siipendi....maana nimecheka kweli umemkomalia mwenye limguu lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona nipo kule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana wanga walikua wanagonga cheers eti tumepewa ban, yani tunawatetea wasipewe 30k kumbe hawapendi wenyewe wameridhika na pesa za vocha
Nakutafutia, ila chonde kaka usije na wewe ukampa afusalasini nitakufungulia uzi huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Safi best, ko uta nitafutia ehh[emoji855][emoji2]
Niliona umekula ban best, basi ikabidi niwe msomaji kimya kimya nisllije ungana na nyie nikose umbea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yaani kila kona bro anamwaga madini
Hivi ni nani aliyeweka limguu kubwa selfika, unajua picha hazifunguki zote mpaka nitumie web na siipendi....maana nimecheka kweli umemkomalia mwenye limguu lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ohhh mmeanza Tena🤣😂😂😂, SI kill mtu ana fedha zake🤣😂😂🤒Nakutafutia, ila chonde kaka usije na wewe ukampa afusalasini nitakufungulia uzi huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
30 k ndo mshahara nalipwa, kwa kuchunga mbuzi 🤒🤒.Mbona nipo kule 🤣🤣🤣🤣
Jana wanga walikua wanagonga cheers eti tumepewa ban, yani tunawatetea wasipewe 30k kumbe hawapendi wenyewe wameridhika na pesa za vocha