National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
π π hapafai tena humuu.. unawekewa hata sumuSasa kama si kweli fanya kweli.
Ndo ile Ina wekewa na ice ,π€jamii check ni katiba ya warioba ambayo inafanyiwa kazi mwaka 2025 ipitishwe.π
Mzee neshino wewe sio poa..π π hapafai tena humuu.. unawekewa hata sumu
π π π vipi tena mtaalamu nimefanyajeMzee neshino wewe sio poa..
Hio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. πNdo ile Ina wekewa na ice ,π€
π π π hiyo tume naomba niwe mwenyekitiHio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. π
Kaka unapeleka rungu komredi kipepe anaenda tuishieni.π π π vipi tena mtaalamu nimefanyaje
Ndo ile ili wahi taka kupika njugu kwa mwengeπ€Hio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. π
π π π ... bana wee mie humu naonekana kiwembe.. wakati joka la kibisa.. nishapewa kesi na mtu tulimpiga mtu mande .. mengi mtasikia tuKaka unapeleka rungu komredi kipepe anaenda tuishieni.
π€£π€£π€£ kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...Ndo ile ili wahi taka kupika njugu kwa mwengeπ€
π€£π€£π€£ kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...
Hawa ndio wameamua kunichania mkeka.. kuna manzi humu nilisema nianzw fukuzia.. sasa washatibua tenaaa π π ππ€£π€£π€£ kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...