Halafu we SI nime kukataza kukesha usiku 🤔🤒, Ms eyes02:01 AM
Ungenipigiaa 😂🤣😁Usingizi ulikata
I love you 😜Morning babe
I love you tooI love you 😜
Nimecheka, si umuendee hewani mkuu? Poleeee[emoji28][emoji28][emoji28]Mimi tangu saa nane nipo tu nawaza mchepuko wangu, maana tumezinguana tangu juzi
shangazi mbona umetoa ile avatar
Weeeee... ume mficha wapi Dahan05:55 hakuna lindo hapa🤒, maana walinzi gani mna lala kuliko mogodoro
👉 Mwizi anaye chipukia National Anthem, Dahan, Bantu Lady, tomato 🍅 Ms eyes, chambo wa chama Cha wezi Analyse.
👉 Nusu albino Half american, mpiga chaboo was chama Cha wezi Poor Brain, miyeyusho stow away,
Hivi kanali g Yuko wapi??, Iceberg9 Ume potea pastor??
Hukuona uzi wa kilio wa mwch, atakua ana I'd nyingine 😂🤣Weeeee... ume mficha wapi Dahan