mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
2nd yr comp. scienceUpo mwaka wa ngapi now na unafanya kozi gani?
2nd yr comp. scienceUpo mwaka wa ngapi now na unafanya kozi gani?
duh....Acha niendelee
Baada ya kummwagia maji yakiwa kwenye ile chupa akawa ameshikwa na amekwisha hamaki asijue nini afanye bila kuelewa hili wa lile akampa pole na akampa pongezi hongera na pole kwani amemwagia maji ishara ya ubatizo bila kutarajia bahati si bahati na ni ya nadra na mara zote haitoki kwa mwenye bahati bali kwa yule asie mwenye bahati akaruka kinywani kwake na kuanza kumlamba lips
Itaendelea...
404: Page Not Found
Ok piga msuli supps hazina mwenyewe dogo.2nd yr comp. science
Haha kwa nani tena mdogo wangu?😜shem kama shem😂
AI chatGPT buni na wewe2nd yr comp. science
wakati assignment nafanya kwa chatgpt😆 naingia nayo kwenye pepaAI chatGPT buni na wewe
404: Page Not Found
haya bana😂 mliniahidi mualiko wa harusiHaha kwa nani tena mdogo wangu?😜
Ah wee sio kwel, 😀😀😀😀mwache mwenzio aenjoyOk piga msuli supps hazina mwenyewe dogo.
Siku hizi elimu imekuwa rahisi sana. Vyanzo mnavyo vyakutosha. Enzi zetu Udsm bima kuingia library na kushinda kwenye vimbweta hutoboi.wakati assignment nafanya kwa chatgpt😆 naingia nayo kwenye pepa
GPA ya 4.8 au 4.9 kina kirefuDahan nawe bado unapambania GPA?
Haha hilo usijari mdogo wangu, nilikuwa nahofu utamtag hapa ajue usiku napuyanga huku 🤣🤣haya bana😂 mliniahidi mualiko wa harusi
semester sijaingia pindi hata moja😆 ashukuriwe chatgptSiku hizi elimu imekuwa rahisi sana. Vyanzo mnavyo vyakutosha. Enzi zetu Udsm bima kuingia library na kushinda kwenye vimbweta hutoboi.
Inategemea na aina ya kozi kaka. Wapo wanazigonga hizo Kama kawa😊GPA ya 4.8 au 4.9 kina kirefu
404: Page Not Found
me i just want to be high...🎶Ah wee sio kwel, 😀😀😀😀mwache mwenzio aenjoy
Huko chini ya maji kina kirefu sio kwa CSInategemea na aia ya kozi kaka. Wapi wanazigonga hizo Kama kawa
😂😂 labda GTADahan nawe bado unapambania GPA?