JamiiForums Usiku wa manane

Hivi distant Relation inaipa Warantii ya Miaka mingapi Maxmumly bila kuonana kabisa?
 
Nina kafeeling kananitesa sana, Naona kama Future inaingia Mitini ila nakua mgum kukata tamaa Coz hanikosei simkosei ila umbali tu ndo unanipa Stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…