Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
3:40
3:40
Kak bado upo macho leo3:42
Huyu hapa amekuja
Hii shida tunayo wengi, nimekunywa dawa moja ina vichenga chenga nimekuwa kama teja.Unanicheka wakati yananitesa hapa. Hafu pua moja tu, napumlia mdomo tu kama beberu[emoji24]
Juhudi zimegonga mwamba mkuu😂Umehamia huku
Baada ya kumsumbua Cute Wife kule selfika😁
Tulia wewe ndo nimeamka😂mshamba_hachekwi Ume kuja na vurugu Sana🤣😂😂