Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Dah nipo kwenye harakati, nashangaa Uzi umepoaa🤪nipo nipo bsdo.....
Dah nipo kwenye harakati, nashangaa Uzi umepoaa🤪nipo nipo bsdo.....
Nachek Security hapa single movie
Ulitaka tulale ki f al a😂😂😂😂
Mi napumzika, silali kishenzi🤣😂😂, Kama kina Poor Brain na mshamba_hachekwi 😂🤣Ulitaka tulale ki f al a😂😂😂😂
Nani sasa umeona amelala hapa khaaaaa 😂😂😂😂😂😂Mi napumzika, silali kishenzi🤣😂😂, Kama kina Poor Brain na mshamba_hachekwi
Niko tayari kwa pambano, uko wapi kenge wewe😀🤣😂Nani sasa umeona amelala hapa khaaaaa 😂😂😂😂😂😂
Tupo macho na tupo humu humu tuna chakata data zenu alaaaah
Unajiweza usijione muhuni kwa kuangalia movies za jack chain kijana ooooh 😂😂😂😂 takupotezaNiko tayari kwa pambano, uko wapi kenge wewe😀🤣😂
Naomba nisilaumiwe na mademu na familia yako😂🤣, Eti ohhh Ume tuulia. Kama vipi shahidi awe mshamba_hachekwi na Dahan 🤣😂Unajiweza usijione muhuni kwa kuangalia movies za jack chain kijana ooooh 😂😂😂😂 takupoteza
Intel sahii unasumbua.. usiku hufiki lindon😕😕😕Dahan na mshamba_hachekwi mko tayari kuwa mashahidi, kipindi Niki iua mbwaaa hi🤣😂
Kasema Nani???, We Jana hauluwepo😂🤣Intel sahii unasumbua.. usiku hufiki lindon😕😕😕