National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Banaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuuNipo na afya tele dj wa selfika....
Naona upo dasalamu una injoi kila leo
Hata katika ndoto zangu, Sina wai enda hata daresalaamπππ Poor BrainWee nasikia uliendaga china πππ
Ahahahahah hapo sasa ππππBanaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuu
Nipe kazi ya ulinzi mkuu, nilindeππBanaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuu
Khaaa hapana mkuu acha masikhara na utani mi nipp serious banaHata katika ndoto zangu, Sina wai enda hata daresalaamπππ Poor Brain
supuu wapi mzeee.. nani akaangaike na majiko na mvuaa hii π€£π€£π€£ nikupeana majoto tuAhahahahah hapo sasa ππππ
Ushapata supu
π π π mkubwa wa wezi umuachie lindo mbona hatari.. cheki umlinde mtu fulani mwenye mkia wa kondoo π πNipe kazi ya ulinzi mkuu, nilindeππ
Kwani mi naigiza mkuuπππKhaaa hapana mkuu acha masikhara na utani mi nipp serious bana
Daaah raha kweli kweli mkuu....supuu wapi mzeee.. nani akaangaike na majiko na mvuaa hii π€£π€£π€£ nikupeana majoto tu
Nitabadilika mkuu, nipeni job jamaniπππ π π mkubwa wa wezi umuachie lindo mbona hatari.. cheki umlinde mtu fulani mwenye mkia wa kondoo π π
Inabidi mpunguze vi dhambi vya hapa na palee π π πDaaah raha kweli kweli mkuu....
Yaan huku si ni jua tuh pakavu hatareee
Tatizo na wewe siku hizi umekua na masikhara mengi sana....Kwani mi naigiza mkuuπππ
π π π night tuingie mzigoni sema leo watu wachache au tukapige matukio standa ya mafuli ila pale alfajiri ndio pazuri kwa kuibaNitabadilika mkuu, nipeni job jamaniππ
Daaah wanasema huku centrol zone kuna shida sana... Dhambi huku hakuna kabisa ni vile tunaonewa tuuInabidi mpunguze vi dhambi vya hapa na palee π π π
Mkuu mi Niko serious jamaniππ€π π π night tuingie mzigoni sema leo watu wachache au tukapige matukio standa ya mafuli ila pale alfajiri ndio pazuri kwa kuiba
C.zone huwa napaelewa sanaaDaaah wanasema huku centrol zone kuna shida sana... Dhambi huku hakuna kabisa ni vile tunaonewa tuu
Watoto gani???, Wakati nakimbizana na nyani nanjilinjiiTatizo na wewe siku hizi umekua na masikhara mengi sana....
Kuna kikundi cha watoto wabadi unakifata ππππ
Ndo wapi huko mkuu π€, yaani Niko nanjilinjii sielewi kituπππC.zone huwa napaelewa sanaa
π π π tusake wote tu kazi mkuu, nilipokuwa nafanya kazi company imefungwaa na mie sasa hivi nipo kitaa nasaga soli za viatuMkuu mi Niko serious jamaniππ€
Namaanisha nipe kazi ya kumlinda mkeo, we ukienda kaziniπππ π π tusake wote tu kazi mkuu, nilipokuwa nafanya kazi company imefungwaa na mie sasa hivi nipo kitaa nasaga soli za viatu