JamiiForums Usiku wa manane

I mean no malice to nobody, Naomba tukemee kwa maombi Poor Brain, mshamba_hachekwi, Dahan, masai dada
 
Hamna, yalianza kuuma tangu nikiwa darasa la tatu nikaanza kutumia miwani kuanzia hicho kipindi mpaka nilivyofika form two nikaacha maana nilikuwa sipendi kutumia miwani. Naona sasa hivi yanarudi kwa kasi( yanatoka machoziπŸ˜”)
Pole sana aiseeee......
Sasa hapo kula sana mchemsho wa mboga za majani yaani per week utaona mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…