Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
yeeeaaah
Hiiiiii
Nilikuwa nacheza game, na kuangalaia moviee tuUmetoboa kweli leo. Ulikuwa lindo kinyonge wengi wamekimbia lindo Intelligent businessman uko wapi leo?
Yeah,Kwa mpunaAbhene nako bhikuti kwa Mpuna ku lisu ipimba
ArroundWakuu last drop kigamboni hapa nani yuko artound
Tupo mkuuHellow guys 1:22.
Oyaaa wazee wa liamba apa nnagoogle dalili za H.I.V jamani jitaidin kubaki njia kuu , maana kila dalili inakuja inakataa kifupi kua chanya hata kwa mawazo tu huleta dalili zote unajikuta unazo.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!