Kwenye journal sijaona makabidhiano.Hapana lindo lipo na Wakuperuzi ππππ mi acha nitunge sentensi mkuu...
Ila hii ni hatari kujikabidhi lindo mwenyewe ukisikia msala ndio huuHapana lindo lipo na Wakuperuzi ππππ mi acha nitunge sentensi mkuu...
Anamshikia Mr kenice mkuu... Alipata udhuruππππKwenye journal sijaona makabidhiano.
Afande Wakuperuzi umepandishwa lini kuwa afisa wa kuachiwa kituo?
Niwe tu muwqzi Dahan akukute tu ofisini maana lindo niko nalo kimakosa bila makabidhianoKwenye journal sijaona makabidhiano.
Afande Wakuperuzi umepandishwa lini kuwa afisa wa kuachiwa kituo?
Tumwambie akutupie taulo au unatakajeπππIla hii ni hatari kujikabidhi lindo mwenyewe ukisikia msala ndio huu
Dahan nikute ofisini sasa hivi.Niwe tu muwqzi Dahan akukute tu ofisini maana lindo niko nalo kimakosa bila makabidhiano
Maelezo yanahitajika hakuna namna maana km baridi ni ya kawaida imekuaje unaacha lindo bila makabidhianoTumwambie akutupie taulo au unatakajeπππ
Acha woga wewe hukumbuki sera zetu... πππNiwe tu muwqzi Dahan akukute tu ofisini maana lindo niko nalo kimakosa bila makabidhiano
KurutaDahan nikute ofisini sasa hivi.
Wakuperuzi shika lindo kwa muda. Mwenzako akitoka uje.
Hii si jalala..mnaachiana kiholela. Kuruta aachiwa lindo mwenyewe? Akili au matope?
Nisifike ofisini kabla hujafika.
Order tayari so acha niendee kudumisha kwa mudaAcha woga wewe hukumbuki sera zetu... πππ
Panga mkononi roho beganiπππππ
Yakikukuta sasaaa πππππ
panga begani roho mkononiiiππππ
Hana lolote huyu ananitaka tuuπππ.... Subiri tuoneMaelezo yanahitajika hakuna namna maana km baridi ni ya kawaida imekuaje unaacha lindo bila makabidhiano