Huyo hapana kaka, nahitaji wa kike π π πCoca atafaaππππ
Mpe tu adhabu haonekani siku hizi au ayeye analea πYupo hapa, nataka kumpa adhabu kwa kuchelewa ππ
Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha weziππππSawa Mimi ni rofa nipo lindo haya nataka kula zao hao walinzi niingie kwenye team hapo au nini sasa ?
Ningekupa Lovelovie sema ndo ana ukorofii huyooHuyo hapana kaka, nahitaji wa kike π π π
Umekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi πNipo kaka π π
Analyse mishanga, I mean no malice to nobodyUmekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi π
Huyo ajiunge tu chama kikue πMzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha weziππππ
Shida ana mbwembwe Sanaπππ€, asije kuwa askariHuyo ajiunge tu chama kikue π
Mpe kitengo huyo π πMzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha weziππππ
Nipo kaka. Leo nitakuwa lindo mwanzo mwisho πUmekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi π
Dah kaka Intelligent businessman , Unaona mrembo uliyenichagulia ananiwekea vikwazo? π π πHivi unajua Analyse ni kaka angu wa kwanza ukitoka ww.
Wote vijana haina maana kunyimana ππ, Analyse na LovelovieDah kaka Intelligent businessman , Unaona mrembo uliyenichagulia ananiwekea vikwazo? π π π
Kumbe Mimi na yeye ni ndugu
π€π€π€π Nasubiri CV yake hapa...π€π€π€Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha weziππππ
Acha tuone kama kweli πNipo kaka. Leo nitakuwa lindo mwanzo mwisho π
Nipo hapa CV nishakabidhi kwa Intelligent businessman emu mpe CV yangu chap nishakula kula 2 kule juu asee usiniangushe hapo parefuπ€π€π€π Nasubiri CV yake hapa...π€π€π€