JamiiForums Usiku wa manane

Parapanda italia Eeh waliokoka watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni Eeh waliokoka watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni Parapanda italia Eeh waliokoka watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni

Parapanda italia
Iyooo waliotakaswa watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwenda kumlaki bwana Yesu mawinguni Iyooo waliotakaswa watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwenda kumlaki bwana Yesu mawinguni Iyooo Parapanda italia Walioacha dhambi watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni Eeh waliokooka watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni Eeeh hiyo Parapanda italia Walioacha dhambi watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni Eeh waliokooka watakuwa wamekwisha Nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana Yesu mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…