No smokingKwa kingereza unamaanisha nini ?
Mzee habari za toka wizi wa jana??05:06
πππ nilikuwa na majukumu ya kiutu uzima yakanicheleweshaaMzee huoni aibu kabisa unatokea jua likiwa limechomoza
Anhaaa, chimbo gani tenaa uliiibuka au Juliana Nini??πππ nilikuwa na majukumu ya kiutu uzima yakanicheleweshaa
Kazi na iendeleeMzee habari za toka wizi wa jana??
π π π nyinyi ni vijana wa ovyo msitambulishwe mashemeji zenu. Nimekoma kuwatambulisha mashemeji kwenuππππ ww mzee ni unazeeka vibaya nini? Yaani mm niachike wakat uliachwa baada ya kunitambulisha kwa dem wako af dem wako akakupa kibuti pale sokoni ππ