National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,212
Wanalinda ndoa π πMadam o Bantu Lady na mcharuko Dahan mmejificha wapiiππ
Baadae,ndo naenda kazin
Oii nipo mkuu. Nipo mkuu. Nilisinzia kidogo π π π
Nipo mkuu. Nawazoom tu kutokea angle hii π π2:35 wapi wezi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain na chambo was kijijii Analyse
Nilikua nakuamsha uamke wengine hapa ndo tumetoka nightπBaadae,ndo naenda kazin
Ulisinzia au lilala mzee π πOii nipo mkuu. Nipo mkuu. Nilisinzia kidogo π π π
Sawa mkuu... Asante sanaNilikua nakuamsha uamke wengine hapa ndo tumetoka nightπ
Nilisinzia lindo π πUlisinzia au lilala mzee π π
Yaani unaiba bila ya kuwa na wasiwasi, naona mpiga chaboo Poor Brain anafaidi kuangalia mizigo ya watuπ π π kuna mvua sana huku, wizi unakuwa mwepesi sana
Kwenye mvua watu wanalala vibudu π πYaani unaiba bila ya kuwa na wasiwasi, naona mpiga chaboo Poor Brain anafaidi kuangalia mizigo ya watu