Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,912
Ilikuwa zamani siku hizi wanakalishwa tu π€£Dahan kasema huyo kwao ni Kantalamba. So, muendee kwa upole π
Kule kuna radi za kupima mkuu π π πIlikuwa zamani siku hizi wanakalishwa tu π€£
Kuna mmoja alinijaribu ikamrudia ππKule kuna radi za kupima mkuu π π π
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu una mambo mengiii kama unga wa ngano[emoji23][emoji23] mara chapati, maandazi, keki sijui vireja looh..
Huyo alikuwa mwepesi π πKuna mmoja alinijaribu ikamrudia ππ
Mwachiluwi ndo kibuti hiko tayari cha hadharani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] Unajua Mwachiluwi ni mtu wa wapi? Shauri yako [emoji28][emoji28][emoji28]
Sumbawanga kantalamba huko et[emoji23]
Sitaki kabisa Mzee wa kupambania yaani ngoja nijaribu block. Asante sanaπ€£π€£π€£ daaah! Yaani hutaki kuona comments zao kabisa sijui san hebu jaribu kuwalima π§±
Ngoja tuoneπππSasa hapo unadhani Mzee wa kupambania atamuweza? π π π
Hana maajabu mtoto wa Sinza yule [emoji3][emoji3]
π π π Battle la wazee wa usiku. Sisi tubaki kuwa watazamaji tuOh kwamba wasinza tuna nini?
[emoji28][emoji28][emoji28]Battle la wazee wa usiku. Sisi tubaki kuwa watazamaji tu
Jamaa anajitamba amezindikwa π πWewe si unawajua watu wa Goba wana akilia za wastaafu ndio shida [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anajitamba amezindikwa [emoji28][emoji28]
Na leo nitazificha tupu zake atulie sasaπ π π Battle la wazee wa usiku. Sisi tubaki kuwa watazamaji tu
Alikuwa anajua ila alikutana na dawa ya kiboko ya walonziπππHuyo alikuwa mwepesi π π