JamiiForums Usiku wa manane

@Analyse ntu kazi,lindo bila wewe hatulali,ukiwepo jeshi la ntu mmoja na tunalala unamaliza ulinzi peke yako na posho zetu tunakupa
Leo nipo, ulinzi wa uhakika. Kuweni na amani kabisa. Haibiwi mtu, hata waje na mtu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Umenogewa na asali Dahan [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] unairamba vilivyo ,nipe siri ya mafanikio mimi na kwama wapi ninakazana na kulinda huku
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Badilisha styl bhana alafu usiongee sana..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Tia mpungaa hata kama ni mkeo mwambie mama chanjaa hii ya kitenge keshoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ohoooo utaona kama hutaamshwa moningiii kupewa vyoteeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeambiwa jana nilikua naongea usiku eti , nikachoka [emoji17][emoji17][emoji23][emoji23][emoji23]

Room napaogopa
Ulikua unazungumza lugha gani[emoji1787][emoji1787] na nani huenda kuna kitu kilikua kinapiga story nawe[emoji23][emoji23]
 
Waliopo lindoni muda huu, wengi wako singo; au hawana mahusiano mazuri na wenzi wao; nendeni mkaboreshe ndoa, kukaa lindoni sio sifa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hii sio kweli.. Babawa3 yupo hapaaa.. Nafanya kumrekod akikoromaa maana huwa ananibishia asubuhiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…