Kati ya Dahan na Bantu Lady mmoja wapo inabidi aje kuwaongezea nguvu π π πDaaah sio po mkabaji anakaba huku anayumba na bado anakimbiza boda
Huyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba π€£Mwachiluwi kawa muoga siku hizi. Anafungiwa ndani na demu wake. π π π
Nafasi yake achukue Others
Dahan yuko bize na zabibu na jamaa yake hukoπKati ya Dahan na Bantu Lady mmoja wapo inabidi aje kuwaongezea nguvu π π π
Anaendeshwa na Penzi jipya huyo π πHuyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba π€£
Akamuulize Ngoswe penzi kitovu cha uzembe πAnaendeshwa na Penzi jipya huyo π π
Dahan Yuko na uchovu wa morning glory. Atakuja baadae hapapπ π πDahan yuko bize na zabibu na jamaa yake hukoπ
Bantu Lady boss kubwa sijui tunamuanzia wapi aisee π€
Mambo ya morning glory sio poa lazima apate kamuda kakupumzika π€£Dahan Yuko na uchovu wa morning glory. Atakuja baadae hapapπ π π
Akija hapa mwanzo mwisho anacheka tu π π π πMambo ya morning glory sio poa lazima apate kamuda kakupumzika π€£
Angojeee nife ndio achukue πBwana Others naona yuko serious achukue nafasi ya Mwachiluwi
Unasemaje Intelligent businessman na Analyse
Sija muona wakumuogopa bado ππMwachiluwi kawa muoga siku hizi. Anafungiwa ndani na demu wake. π π π
Nafasi yake achukue Others
Haufi leo wala kesho wewe πAngojeee nife ndio achukue π
Wew jana mbona ulifungiwa usiku na jimama la buza ππHuyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba π€£
Ahhahah labda anibizie anikabe ani kill lakini ajue nilienda china kwa ajili ya judoHaufi leo wala kesho wewe π
Kazimaliza zabibu zote mpaka Bantu Lady amekosaDahan yuko bize na zabibu na jamaa yake hukoπ
Bantu Lady boss kubwa sijui tunamuanzia wapi aisee π€
Kumbe unajua utamu wake wa penzi jipya mda wote unataka ukae nae tu πAnaendeshwa na Penzi jipya huyo π π
Kwa hiyo unamaanisha saivi ana mautamu sio poa π€πKazimaliza zabibu zote mpaka Bantu Lady amekosa
Kumbe umeelewa vizur zabibu zinaongeza hamu ya tendo πKwa hiyo unamaanisha saivi ana mautamu sio poa π€π
Na ndio maana siku hizi umekuwa doja punguza zabibu hizo utafia kitandani πKumbe umeelewa vizur zabibu zinaongeza hamu ya tendo π
π π π π Masaa mawili unayaona kama dakika 20 tuKumbe unajua utamu wake wa penzi jipya mda wote unataka ukae nae tu π