Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,280
- 7,968
Ewaaa[emoji28]Mi mwizi wa kimataifa tu, Nina vijana wenzangu [emoji117] Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na mwizi anayechipukia National Anthem [emoji117]Sera zetu
[emoji117] Panga mkononi
[emoji117]Roho begani
Utauweza muziki wangu? Miye Mkurya hasira zetu wamasai wanatulia pembeni.Siku ukiwa kwenye hiyo hali nitag ninunue ugomviπ€£π€£
Wakurya ndio nawamudu vilivyo, hawafurukuti.Utauweza muziki wangu? Miye Mkurya hasira zetu wamasai wanatulia pembeni.
Halafu ni mchanganyiko so huwa na damu za huku na kule.
Nitakutag usijali, usikimbie tu...
Kama ungeropoka, Basi Ungenikomaa maana nilikuwa nina museum ya maneno leoo zuwenaaa aaSitaki ugomvi leo. Niko Kwaresma mimi. Nimeshakuwa Zuwena tena π₯π₯π₯π₯ kale kembemba hata hatufanani
πππππ Ila kwenye hizi shule nafikiri huwa kuna vitu, visivyo vya kawaida.Dah shule mambo ya kutishana kuna siku waliingia bundi wawili bwenini saa kumi usiku dah tulitafutana [emoji28][emoji28]
Uliogopaa bure Bantu Lady coz it was mwanakijijiling wa enzi hizoooπππππ Ila kwenye hizi shule nafikiri huwa kuna vitu, visivyo vya kawaida.
Jumamosi moja, nimemaliza zangu kufua shule huko. Nimeanika sasa napita mbweni, nyuma kuna mto. Kwanini nisisikie jina langu linaitwa!!!
Huko kwenye mto. Sauti sikuijua. Nikaambiwa ningeitikia ama kwenda ndiyo ningepotea mazima!!!
πππππππ Jipe moyo ulikutana nao fake, uliza kwanini tukapewa kanda maalumu?Wakurya ndio nawamudu vilivyo, hawafurukuti.
Siwezi kimbia utaona balaa lake ππ
Usithubutu kukutana na bwana pepsi π€£
Nimekuona leo 1 haisomi, 2 haisogei π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kama ungeropoka, Basi Ungenikomaa maana nilikuwa nina museum ya maneno leoo zuwenaaa aa
Ukisikia huu uzi upogo ujue huyo ni legendary kitambo sana[emoji23][emoji23]watu mna miaka mingi JfHuu uzi upogo[emoji23]
12:15
Asta la vistaaa zuwenaaa Bantu Lady03:00
Nilikuwepo ββββ Nawapenda sana....
Pisi ya Mheshimiwa hujamboMwachiluwi hizo zabibu unauza? [emoji12][emoji12][emoji12]
Mmeshindikana na taifa ila sio mimi nusu mmarekani ππππππππ Jipe moyo ulikutana nao fake, uliza kwanini tukapewa kanda maalumu?
Tumeshindikana na Taifa.
Ungeitika ungekua maya[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ila kwenye hizi shule nafikiri huwa kuna vitu, visivyo vya kawaida.
Jumamosi moja, nimemaliza zangu kufua shule huko. Nimeanika sasa napita mbweni, nyuma kuna mto. Kwanini nisisikie jina langu linaitwa!!!
Huko kwenye mto. Sauti sikuijua. Nikaambiwa ningeitikia ama kwenda ndiyo ningepotea mazima!!!
Uutoe wapi wakati mwili umeshauzoesha lazima ikifika mida fulani uamkeDah usingizi hakuna
Sandy kichwa kinauma[emoji28][emoji28] mikono juu[emoji2304][emoji2362]
02:06