Mzee wa kupambania Yuko kazini mida hii na boda boda yake, anategea walevi 😅😅Mahidhurio si mabaya.
Leo nimemwona nana_ ola mtaalamu wa dawa za usingizi Mwachiluwi yupo kweli na yule mzee wa sindano To yeye Mzee wa kupambania upoo?
NImehakiki na majina nimeita twendelee na kaz
Tupo, jana na leo
Afya vip?Asante Mungu ni suku nyingi tena Mungu!!naoimba iamwe ya heri na barakatele
Enjoy hapo.Muda muafaka wa morning [emoji274] glory na mama glory [emoji92][emoji94]
Heri ya mwezi mpya
Muwe Na siku njema
Afya vip?
Sandy habari yako ndiyo umeamka au ndiyo tunajiandaa kwenda kwenye majukumuSalama tu kumekuchaaa
Sandy habari yako ndiyo umeamka au ndiyo tunajiandaa kwenda kwenye majukumu
Ndio tunajiandaa kwenda kuchakarika …Vip wew ushaamka au bado unavuta shuka??